Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu amesema Tanzania itaendelea kupiga
hatua kupitia Sekta ya Vinda hasa katika kuimalisha uchumi ikiwemo
uchumi wa Kati hii ni pamoja na kuimalisha viwanda vyake vya ndani
vilivyopo na vile vinavyoendelea kujengwa na watu mbalimbali wakiwemo
wawekezaji wa nje na wazawa.
Dewji Blog
No comments:
Post a Comment