BENKI MBALIMBALI

BOT DODOMA

 

Benki Kuu Tanzania (BOT), ni Taasisi muhimu ya fedha kwa Tanzania na watanzania katika nyanja zote za maendeleo. BOT ina ofisi zake mkoani Dodoma.

DODOMA DIRECTORY BLOG inakurahishia kufika BOT Dodoma.

BOT Website:
http://www.bot.go.tz

Google Map link
https://www.google.com/maps/dir/''/BOT+Dodoma+Branch,+Kikuyu+Ave,+Dodoma,+Tanzania

NMB DODOMA

 

NMB Bank ni moja ya benki kubwa Tanzania. NMB katika kuwahudumia watanzania inamatawi yake kila mkoa, ikiwemo mkoa wa Dodoma.

DODOMA DIRECTORY BLOG inakurahisishia kufika ofisi za NMB mkoani Dodoma.

NMB Website
www.nmbtz.com

Google Map Link
www.google.com/maps/dir/''/nmb+bank+dodoma

Address: Madaraka Ave, Dodoma, Tanzania
SAA ZA KAZI:
Jumatatu01:30Asubuhi – 10:00 Jioni
Jumanne01:30Asubuhi – 10:00 Jioni
Jumatano01:30Asubuhi – 10:00 Jioni
Alhamisi01:30Asubuhi – 10:00 Jioni
Ijumaa01:30Asubuhi – 10:00 Jioni
Jumamosi01:30Asubuhi – 10:00 Jioni
Jumapili(Hatufungui)

CRDB DODOMA


CRDB ni moja ya benki ya kuaminika, katika kuendelea kuwa karibu na wananchi CRDB inaofisi zake mkoani Dodoma.

DODOMA DIRECTORY BLOG inakurahishia kufika CRDB ili kupata huduma za Kibenki.

CRDB Website
http://crdbbank.com


Google Map Link

CRDB BANK,
Dodoma,
Tanzania.
Tel: 255 262 322 840
Fax: 255 262322 841 

 

No comments:

Post a Comment