Nape Nnauye alivyopokewa jimboni kwake Mtama
Mbunge wa Mtama Lindi Nape Nnauye
amerudi jimboni kwake na kuzungumza na Wananchi kwa mara ya kwanza toka
aondolewe kwenye baraza la Mawaziri alikokua akitumikia nafasi ya
Waziri wa habari, sanaa, Utamaduni na michezo.
Millard Ayo
SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment