Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye amezipongeza Kurugenzi za
Mawasiliano Ikulu na Idara ya Habari Maelezo kwa ubunifu wanaouonesha katika kuelezezea
mafanikio ya Serikali kwa kutumia teknolojia mbalimbali za habari na mawasiliano.
Ameyasema hayo wakati akizungumza na Maafisa
Mawasiliano wa Serikali wakati akifungua kikao kazi cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali
kinachofanyika Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment