Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum
ya Dar es Salaam, Kamanda Simon Sirro amesema tayari wamefungua jalada
la uchunguzi pamoja na kuunda timu ya wapelelezi kwa ajili ya kufanya
uchunguzi wa tukio la utekwaji wasanii watatu pamoja na raia mmoja,
akiwemo Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’ na Moni lililotokea Aprili 5, 2017
katika studio za Tongwe Rekodi zilizopo Masaki.
Dewji Blog
No comments:
Post a Comment