DODOMA GENERAL HOSPITAL
DODOMA GENERAL HOSPITAL ni hospitali ya rufaa mkoani Dodoma. Ni hospitali kubwa na ni ya kisasa, inatibu wagonjwa wa kawaida na wale wenye kesi maalum. Pia inatibu wagonjwa wa bima.DODOMA DIRECTORY BLOG inakurahisisha kufika hospitali hapo ukiwa mkoani Dodoma.
Google Map Link
www.google.com/maps/place/Dodoma+General+Hospital
Address: Dodoma, Tanzania
MIREMBE DODOMA
DODOMA DIRECTORY BLOG inakurahishia kufika hospitali hiyo ya Mirembe.
Google Map Link
www.google.com/maps/dir/''/Mirembe+dodoma
No comments:
Post a Comment