DODOMA DIRECTORY BLOG
ni blog inayokuletea karibu taarifa za ofisi zote katika mkoa wa Dodoma. KARIBU DODOMA
Nape Nnauye alivyopokewa jimboni kwake Mtama
Mbunge wa Mtama Lindi Nape Nnauye amerudi jimboni kwake na kuzungumza na Wananchi kwa mara ya kwanza toka aondolewe kwenye baraza la Mawaziri alikokua akitumikia nafasi ya Waziri wa habari, sanaa, Utamaduni na michezo.
Millard Ayo
SOMA ZAIDI
Mama Samia Suluhu akabidhi tuzo za Rais kwa wazalishaji Bora wa Viwanda vya ndani 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh. Samia Hassan Suluhu amesema Tanzania itaendelea kupiga
hatua kupitia Sekta ya Vinda hasa katika kuimalisha uchumi ikiwemo
uchumi wa Kati hii ni pamoja na kuimalisha viwanda vyake vya ndani
vilivyopo na vile vinavyoendelea kujengwa na watu mbalimbali wakiwemo
wawekezaji wa nje na wazawa.
Dewji Blog
Kamanda Sirro atoa taarifa kuhusu kukamatwa kwa ROMA Mkatoliki
Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum
ya Dar es Salaam, Kamanda Simon Sirro amesema tayari wamefungua jalada
la uchunguzi pamoja na kuunda timu ya wapelelezi kwa ajili ya kufanya
uchunguzi wa tukio la utekwaji wasanii watatu pamoja na raia mmoja,
akiwemo Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’ na Moni lililotokea Aprili 5, 2017
katika studio za Tongwe Rekodi zilizopo Masaki.
Dewji Blog
KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MWIGULU NCHEMBA KUPOTEA KWA ROMA MKATOLIKI
Usiku wa April 5 2017 taarifa za
kukamatwa kwa msanii wa hip hop Roma Mkatolikia zilianza kuenea katika
mitandao ya kijamii kwa kuandikwa kuwa Roma Mkatoliki na Moni wakiwa
studio za Tongwe Records walikuja kukamatwa na watu wasiojulikana na
kuwapeleka kusikojulikana.
MALUNDE1 BLOG
FARU FAUSTA NAYE AZUA BALAA...WABUNGE WAPINGA VIKALI GHARAMA ZA MATUMIZI YAKE
Baadhi
ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wameibuka na
kupinga vikali gharama za matumizi ya Faru Fausta aliyepo katika Hifadhi
ya Ngorongoro, na kuongeza kuwa gharama hizo haziendani na uhalisia.
MALUNDE1 BLOG
Rais Magufuli aishukuru EU kwa msaada wa Bilioni 500
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Aprili, 2017 amefanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Mhe. Roeland Van de Geer na kuushukuru umoja wa nchi hizo kwa kutoa msaada wa Euro Milioni 205 sawa na takribani Shilingi Bilioni 500 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za maendeleo hapa nchini kwa kipindi cha miaka 4 kuanzia mwaka huu.
Dewji Blog
SOMA ZAIDI
Subscribe to:
Posts (Atom)