ni blog inayokuletea karibu taarifa za ofisi zote katika mkoa wa Dodoma. KARIBU DODOMA
Waziri Mkuu afika mwenyewe mgodini Buzwagi kukagua mchanga wa dhahabu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara kwenye mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na kuchukuwa sampuli za mchanga katika makontena mbalimbali kwa lengo la kwenda kuyapima kwa wataalamu wa madini ili kubaini kiasi cha dhahabu kilichomo.
Millard Ayo
SOMA ZAIDI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment