BALOZI WA MOROCCO NCHINI TANZANIA AKUTANA NA WAZIRI WA ARDHI KUHUSU MASUALA YA ARDHI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi akiwa na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane wakati alipo mtembelea ofisini kwake.

Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane akimueleza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi jinsi Nchi yake ilivyofanikiwa katika kukabiliana na makazi holela kwa kiasi kikubwa.

No comments:

Post a Comment