Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
AWAMU ya kwanza ya serikali kuhamia Dodoma imekamilika kwa watumishi wa
wizara zaidi ya 2,059 kuingia mjini hapa, huku Wizara ya Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi ikiongoza kwa kuwa na watumishi wengi.
Habari Leo
No comments:
Post a Comment