Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi na wadau wa
mkoa wa Dodoma kwenye mkutano wa kazi, ambapo Taarifa ya Awali ya mkoa
wa Dodoma na utekelezaji wa uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma,
iliwasilishwa katika ukumbi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI.
(Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais).
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Dodoma,
uhakikishe unaondoa vitendo vya ukiritimba kwa baadhi ya watendaji wa
serikali, ambavyo vinaweza kusababisha ucheleweshaji au kukwamisha
ujenzi wa miji mipya mikubwa mitano ya kisasa katika maeneo mbalimbali
ya mkoa huo.
Habari Leo
No comments:
Post a Comment