Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano, Ofisi ya Bunge leo 16 March, 2017 kimetangaza kuwa wajumbe tisa ambao wataiwakilisha Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki watachaguliwa katika mkutano wa saba wa Bunge.
Kwa Kuzingatia masharti na kanuni zinazotawala uchaguzi huo, msimamizi wa uchaguzi huo katibu wa Bunge atatoa tangazo kwenye gazeti la serikali tarehe 17 machi, 2017.
No comments:
Post a Comment