RAIS MAGUFULI ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA IKULU YA CHAMWINO DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
leo tarehe 16 Machi, 2017 ametembelea eneo la ujenzi wa Ikulu Chamwino
Mkoani Dodoma na kuwahakikishia wananchi kuwa atahamia Dodoma hivi
karibuni kama alivyoahidi.
No comments:
Post a Comment