Tisa ‘walimwa’ TBC kwa habari ya uongo kuhusu Trump na JPM
Wafanyakazi tisa wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), wamesimamishwa
kazi kwa kosa la kurusha habari ya uongo iliyotolewa na mtandao wa Fox
Channel ambao ni maarufu kwa ‘kutunga’ na kusambaza habari batili.
No comments:
Post a Comment