Diamond azungumza na JPM, Rais apanga kukutana na wasanii


Mwanamuziki Diamond Platnumz amepata nafasi ya kuzungumza na Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli kuhusu hali ya wasanii ilivyo nchini na kuomba serikali kuunga mkono juhudi zao ili kulisaidia taifa kuongeza pato na wasanii kupata faida kutokana na kazi wanazozifanya.

Dewji Blog
SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment