MAKAMISHNA WAPYA WA UHAMIAJI WAAPISHWA DODOMA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira aliyeketi katikati akishuhudia Makamishna wapya wa Uhamiaji wakila kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Utumishi wa Umma baada ya kuvishwa vyeo vipya katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma.

MALUNDE BLOG
SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment