TIMU ya Polisi Dodoma inatarajiwa kumenyana na timu ya Simba katika
mchezo wa kirafiki utkaopigwa Machi 11 katika Uwanja wa Jamhuri mjini
hapa.
Simba ambayo kwa sasa inaongoza Ligi Kuu ya Tanzania Bara ikiwa na
pointi 54 (kabla ya kushuka dimbani jana kuwakabili Mbeya City ya
Mbeya), inashuka dimbani ikiwa ni sehemu ya kupaisha ari ya upenzi wa
soka Dodoma.
habarileo
SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment