SERIKALI HAITAVUMILIA WAKANDARASI WAZEMBE - WAZIRI MKUU


*Amtaka Waziri wa Maji avunje mkataba ifikapo Mei 31*
Ni mkandarasi aliyenyang’anywa pasipoti na Rais Magufuli WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitavumilia wakandarasi wasio na uwezo na ambao wanapewa kazi lakini wanashindwa kuzimaliza katika muda uliopangwa.

Tanzania Today
SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment