RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA DKT SHEIN DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo
tarehe 13 Machi 2017, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali
Mohamed Shein Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment