Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi
katika hafla maalumu ya kuwakaribisha viongozi wa Serikali
itakayofanyika Machi 5 mwaka huu mkoani Dodoma.
Hafla hiyo imeandaliwa na Uongozi wa Serikali ya Mkoa wa Dodoma na
itafanyika mkoani humo katika viwanja vya Nyerere (Nyerere Square) kuanzia saa 8 kamili mchana.
Dewji Blog
SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment