Majina 26 ya wachezaji walioitwa na kocha Mayanga Taifa Stars



March 13 2017, kocha wa muda wa timu ya Taifa la Tanzania Salum Mayanga alitangaza majina ya wachezaji 23 watakaounda kikosi cha Taifa Stars. Mayanga ambaye amerithi nafasi hiyo kutoka kwa kocha Charles Boniface Mkwasa ametaja majina ya wachezaji hao leo.

Millard Ayo
SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment