Nay wa Mitego ajibu kuhusu kudaiwa kutumika kisiasa
Msanii kutoka Bongoflevani Nay wa Mitego amezidi kuzichukua headlines
baada ya leo Serikali kutoa agizo la kuachiwa na Polisi alipokuwa
anashikiliwa kutokana na wimbo wake wa ‘WAPO’kudaiwa kuwa hauna maadili.
No comments:
Post a Comment