Rais Magufuli apokea Ripoti za CAG Ikulu Dar es Salaam


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Machi, 2017 amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Dewji Blog
SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment