MWIGULU NCHEMBA: MTU ALIYEMTOLEA BASTOLA NAPE NNAUYE SIYO ASKARI POLISI


Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema mtu aliyemtishia kwa bastola aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye si askari wa Jeshi la polisi, lakini ameshapatikana na atashughulikiwa kwa mujibu wa utaratibu wa ulinzi na usalama.

MALUNDE BLOG
SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment