Prof. Lipumba avitaka vyombo vya habari kutowatumia viongozi waliovuliwa madaraka


Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Uongozi linalotambuliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba, limetangaza rasmi kumvua madaraka Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sherif Hamad na kumtaja Magdalena Sakaya kuwa Kaimu Katibu Mkuu, na kwamba atafanya kazi zote za Katibu Mkuu.

Dewji Blog
SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment